
Anakuja Bwana Yesu | SDA Church Choir -Kasarani (SDAH 207: It May Be At Morn)
Anakuja Bwana Yesu.
Pengine ni saa ya kupambazuka, mishale ya jua ipenyapo giza,
kwamba atakuja Yesu mtukufu awapokee wake.
Bwana itakua lini tutakapoimba, Anakuja Bwana
Yesu Haleluyah amin Haleluyah amin.
Pengine mchana, pengine jioni, pengine usiku wa mamne giza,
itatoweka kwa fahari akija, awapokee wake.
Majeshi yake yataimba Hossana, na watakatifu,
na watakatifu waliotukuzwa,
watamsifu kwa kuwa amekuja awapokee wake.
Furaha tukiitwa pasipo kufa, pasipo kuwa na
maradhi machozi, kuchukuliwa,
➤ SUBSCRIBE http://www.youtube.com/c/2CBNTVChannel
➤ FACEBOOK https://web.facebook.com/2CBN-TV-110365990677456
➤ TWITTER https://twitter.com/2cbninfo
For any information and inquiries kindly contact; 2cbninfo@gmail.com
0 Comments